sw_tn/1sa/06/10.md

490 B

Ng'ombe wawili wanyonyeshao

"Ng'ombe wawili wenye ndama ambao bado wananyonya"

Mumbo ya majipu yao

"Mfano wa majipu yao"

Majipu

Huuu ni ugonjwa wa ngozi.

Ng'ombe waliondoka moja kwa moja kuelekea Beth Shemeshi

Ng'ombe wanaonyonyesha huwarudia ndama wao lakini ng'ombe hawa walikwenda Beth Shemeshi.

Wakipiga kelele walipokuwa wakienda

Kupiga kelele ni milio waliyokuwa wanatoa ngombe sauti zao.

hawakugeuka upande wa kushoto au kulia

"Walikwenda moja kwa moja mbele"