sw_tn/1sa/06/10.md

24 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ng'ombe wawili wanyonyeshao
"Ng'ombe wawili wenye ndama ambao bado wananyonya"
# Mumbo ya majipu yao
"Mfano wa majipu yao"
# Majipu
Huuu ni ugonjwa wa ngozi.
# Ng'ombe waliondoka moja kwa moja kuelekea Beth Shemeshi
Ng'ombe wanaonyonyesha huwarudia ndama wao lakini ng'ombe hawa walikwenda Beth Shemeshi.
# Wakipiga kelele walipokuwa wakienda
Kupiga kelele ni milio waliyokuwa wanatoa ngombe sauti zao.
# hawakugeuka upande wa kushoto au kulia
"Walikwenda moja kwa moja mbele"