sw_tn/1sa/05/11.md

597 B

Mungu wa Israeli

Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.

kulikuwa na hofu ya kutisha mjini mwote

Watu wote wa mji waliogopa kuwa watakufa"

Mkono wa Mungu ulikuwa mzito mno huko

"Mungu aliwaadhibu sana watu huko"

Watu ambao hawakufa

Hii inaonesha kuwa watu wengi walikufa.

Majipu

Huu ni ugonjwa wa ngozi

kilio cha mji kilipanda hadi mbinguni

"Watu wa mji walilia kwa sauti kubwa" Neno "mbinguni" linamaanisha miungu ya watu. "Watu wa mji wakaililia miungu yao"