sw_tn/1sa/05/11.md

24 lines
597 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mungu wa Israeli
Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.
# kulikuwa na hofu ya kutisha mjini mwote
Watu wote wa mji waliogopa kuwa watakufa"
# Mkono wa Mungu ulikuwa mzito mno huko
"Mungu aliwaadhibu sana watu huko"
# Watu ambao hawakufa
Hii inaonesha kuwa watu wengi walikufa.
# Majipu
Huu ni ugonjwa wa ngozi
# kilio cha mji kilipanda hadi mbinguni
"Watu wa mji walilia kwa sauti kubwa" Neno "mbinguni" linamaanisha miungu ya watu. "Watu wa mji wakaililia miungu yao"