sw_tn/1sa/05/01.md

315 B

Basi

Neno hili linaonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.

Nyumba ya Dagoni

Hili ni hekalu la Dagoni mungu wa Wafilisti.

Tazama Dagoni

"Walipatwa na mshangao walipoona Dagoni"

Dagoni ilianguka chini kifudifudi

Msomaji anatakiwa atambue kuwa Bwana alisababisha sanamu ianguke chini wakati wa usiku.