sw_tn/1sa/05/01.md

16 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi
Neno hili linaonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
# Nyumba ya Dagoni
Hili ni hekalu la Dagoni mungu wa Wafilisti.
# Tazama Dagoni
"Walipatwa na mshangao walipoona Dagoni"
# Dagoni ilianguka chini kifudifudi
Msomaji anatakiwa atambue kuwa Bwana alisababisha sanamu ianguke chini wakati wa usiku.