sw_tn/1sa/04/16.md

20 lines
522 B
Markdown

# Akamwambia
"Eli akasema"
# Mwanangu
Eli hakuwa baba yake na Samweli. Eli anazungumza kama vile yeye ndiye baba yake na Samweli kuonesha kuwa hajamkasirikia lakini Samweli anapaswa kumsikiliza.
# Israeli wamewakimbia Wafilisti
Hii inaelezea juu ya kilichotokea.
# Pia kumekuwa ... watu. Pia watoto wako wawili
"Sasa nitakwambia kitu kibaya ... sasa nitakwambia kitu kibaya" au "Sio hayo tuu yaliyotokea huko ... lakini watoto wako wawili"
# Sanduku la Bwana limechukuliwa
"Wafilisti wamechukua sanduku la Bwana"