sw_tn/1sa/04/16.md

522 B

Akamwambia

"Eli akasema"

Mwanangu

Eli hakuwa baba yake na Samweli. Eli anazungumza kama vile yeye ndiye baba yake na Samweli kuonesha kuwa hajamkasirikia lakini Samweli anapaswa kumsikiliza.

Israeli wamewakimbia Wafilisti

Hii inaelezea juu ya kilichotokea.

Pia kumekuwa ... watu. Pia watoto wako wawili

"Sasa nitakwambia kitu kibaya ... sasa nitakwambia kitu kibaya" au "Sio hayo tuu yaliyotokea huko ... lakini watoto wako wawili"

Sanduku la Bwana limechukuliwa

"Wafilisti wamechukua sanduku la Bwana"