sw_tn/1sa/04/12.md

234 B

mavazi yamechanika na matope kichwani mwake

Hii ni njia ya kuonesha maombolezo makubwa katika desturi ya Israeli.

moyo wake ulitetemeka kwa ajili

Eli aliogopa kuwa jambo fulani baya limetokea.

Mji mzima

"Watu wote wa mji."