# mavazi yamechanika na matope kichwani mwake Hii ni njia ya kuonesha maombolezo makubwa katika desturi ya Israeli. # moyo wake ulitetemeka kwa ajili Eli aliogopa kuwa jambo fulani baya limetokea. # Mji mzima "Watu wote wa mji."