sw_tn/1sa/04/05.md

291 B

Sanduku la agano lilipokuja kambini

"watu walipolipeleka sanduku la agano la Bwana katika kambi" "Watu waliokuwepo pamoja na Hofini na Finehasi walilibeba sanduku la agano la Bwana na kulipeleka kambini."

Sanduku la Bwana lilifika kambini

"Watu walilipeleka sanduku la Bwana kambini"