# Sanduku la agano lilipokuja kambini "watu walipolipeleka sanduku la agano la Bwana katika kambi" "Watu waliokuwepo pamoja na Hofini na Finehasi walilibeba sanduku la agano la Bwana na kulipeleka kambini." # Sanduku la Bwana lilifika kambini "Watu walilipeleka sanduku la Bwana kambini"