sw_tn/1sa/04/03.md

20 lines
496 B
Markdown

# Watu
Askari waliokuwa wakipigani vitani.
# Kwa nini BWANA ametushinda leo mbele ya Wafilisti? Hebu tulilete
Wazee hawakujua kwa nini Bwana amewashinda lakini walifikiri kuwa wanafahamu namna ya kufanya ili hali hiyo isijirudie tena.
# akaaye juu ya makerubi
Japokuwa Bwana yupo kila mahali alijionesha mwenyewe kwa wana wa Israeli juu ya makerubi waliokuwepo juu ya sanduku.
# Finehasi
Finehasi huyu hakuwa mjukuu wa Haruni katika Kutoka na Hesabu.
# Walikuwepo huko
Walikuwepo Shilo.