sw_tn/1sa/04/03.md

496 B

Watu

Askari waliokuwa wakipigani vitani.

Kwa nini BWANA ametushinda leo mbele ya Wafilisti? Hebu tulilete

Wazee hawakujua kwa nini Bwana amewashinda lakini walifikiri kuwa wanafahamu namna ya kufanya ili hali hiyo isijirudie tena.

akaaye juu ya makerubi

Japokuwa Bwana yupo kila mahali alijionesha mwenyewe kwa wana wa Israeli juu ya makerubi waliokuwepo juu ya sanduku.

Finehasi

Finehasi huyu hakuwa mjukuu wa Haruni katika Kutoka na Hesabu.

Walikuwepo huko

Walikuwepo Shilo.