sw_tn/1sa/04/01.md

12 lines
287 B
Markdown

# Ebenezeri ... Afeki
Haya ni majina ya mahali.
# Israeli ilishindwa na Wafilisti
"Wafilisti waliwashinda Waisraeli na kuwaua."
# watu wapatao elfu nne
Idadi hii sio kamili yaweza kuwa zaidi ya watu elfu nne au pungufu ya watu elfu nne, hii inaonesha kuwa hakukuwa na idadi kamili.