sw_tn/1sa/04/01.md

287 B

Ebenezeri ... Afeki

Haya ni majina ya mahali.

Israeli ilishindwa na Wafilisti

"Wafilisti waliwashinda Waisraeli na kuwaua."

watu wapatao elfu nne

Idadi hii sio kamili yaweza kuwa zaidi ya watu elfu nne au pungufu ya watu elfu nne, hii inaonesha kuwa hakukuwa na idadi kamili.