sw_tn/1sa/03/01.md

344 B

Neno la Bwana halikupatikana kwa wimngi

"Bwana hakuzungumza mara kwa mara na watu"

Taa ya Mungu

Huu ni mshumaa wa saba uliopo mahali patakatifu pa maskani unaowaka kila siku mchana na usiku mpaka unapokwisha.

Hekalu la Bwana.

Hekalu ni Hema lakini ilikuwa ni sehemu ambayo watu hutumia kuabudu hivyo ni vyema kuitafsiri kama Hekalu.