# Neno la Bwana halikupatikana kwa wimngi "Bwana hakuzungumza mara kwa mara na watu" # Taa ya Mungu Huu ni mshumaa wa saba uliopo mahali patakatifu pa maskani unaowaka kila siku mchana na usiku mpaka unapokwisha. # Hekalu la Bwana. Hekalu ni Hema lakini ilikuwa ni sehemu ambayo watu hutumia kuabudu hivyo ni vyema kuitafsiri kama Hekalu.