sw_tn/1sa/02/34.md

335 B

nitamwinua ... kuhani wangu mwaminifu

"Nitamfanya mtu awe kuhani"

kwa ajili yangu

"anitumikie mimi"

kile kilichomo moyoni mwangu na nafisini mwangu

"Ninachotaka afanye na nitakachomwambia afanye"

Nitamjengea nyumba madhubuti

Hapa "nyumba" imeelezewa kama "uzao." Nitahakikisha kuwa uzao wake unatumika kama kuhani mkuu.