sw_tn/1sa/02/34.md

16 lines
335 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitamwinua ... kuhani wangu mwaminifu
"Nitamfanya mtu awe kuhani"
# kwa ajili yangu
"anitumikie mimi"
# kile kilichomo moyoni mwangu na nafisini mwangu
"Ninachotaka afanye na nitakachomwambia afanye"
# Nitamjengea nyumba madhubuti
Hapa "nyumba" imeelezewa kama "uzao." Nitahakikisha kuwa uzao wake unatumika kama kuhani mkuu.