sw_tn/1sa/02/10.md

548 B

Taarifa ya jumla:

Hana anaendelea kumwimbia Bwana.

Wale wampingao BWANA watavunjwa

"Bwana atawavunja wale wanaompinga"

Kuvunjwa vipande vipanade

Hii inamaana ya "watashindwa"

miisho ya dunia

Neno hili linamaana ya kila sehemu. "dunia nzima"

kuinua pembe ya mtiwa mafuta wake

Pembe ni ishara ya nguvu. " viongozi aliowachagua atawapa nguvu zaidi ya adui zao"

mtiwa mafuta wake

Hii inaweza kutafsiriwa kama "aliyetiwa mafuta" Mafuta ilikuwa ishara kuwa Bwana amemchagua mtu huyo ambaye amempaka mafuta ili aongoze juu ya watu.