sw_tn/1sa/02/10.md

24 lines
548 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Hana anaendelea kumwimbia Bwana.
# Wale wampingao BWANA watavunjwa
"Bwana atawavunja wale wanaompinga"
# Kuvunjwa vipande vipanade
Hii inamaana ya "watashindwa"
# miisho ya dunia
Neno hili linamaana ya kila sehemu. "dunia nzima"
# kuinua pembe ya mtiwa mafuta wake
Pembe ni ishara ya nguvu. " viongozi aliowachagua atawapa nguvu zaidi ya adui zao"
# mtiwa mafuta wake
Hii inaweza kutafsiriwa kama "aliyetiwa mafuta" Mafuta ilikuwa ishara kuwa Bwana amemchagua mtu huyo ambaye amempaka mafuta ili aongoze juu ya watu.