sw_tn/1sa/02/09.md

547 B

Taarifa ya jumla:

Hana anaendelea kumwimbia Bwana.

anazilinda nyayo za watu wake waaminifu

"nyayo" inamaana ya njia za mtu anazopita, ambayo ni maisha ambayo mtu ameamua kuishi. "anawalinda watu wake waaminifu wasifanye maamuzi mabaya" au "anawasaidia watu wake waaminifu kufanya maamuzi ya busara"

waovu watanyamazishwa gizani

Hii ni njia ya busara ya kusemma kuwa Bwana atawaua watu waovu.

waovu watanyamazishwa

Neno "kunyamazishwa" inamaana ya "kumfanya anyamaze" Bwana atawafanya wanyamaze.

kwa nguvu

"kwa sababu ana nguvu"