forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
547 B
Markdown
20 lines
547 B
Markdown
|
# Taarifa ya jumla:
|
||
|
|
||
|
Hana anaendelea kumwimbia Bwana.
|
||
|
|
||
|
# anazilinda nyayo za watu wake waaminifu
|
||
|
|
||
|
"nyayo" inamaana ya njia za mtu anazopita, ambayo ni maisha ambayo mtu ameamua kuishi. "anawalinda watu wake waaminifu wasifanye maamuzi mabaya" au "anawasaidia watu wake waaminifu kufanya maamuzi ya busara"
|
||
|
|
||
|
# waovu watanyamazishwa gizani
|
||
|
|
||
|
Hii ni njia ya busara ya kusemma kuwa Bwana atawaua watu waovu.
|
||
|
|
||
|
# waovu watanyamazishwa
|
||
|
|
||
|
Neno "kunyamazishwa" inamaana ya "kumfanya anyamaze" Bwana atawafanya wanyamaze.
|
||
|
|
||
|
# kwa nguvu
|
||
|
|
||
|
"kwa sababu ana nguvu"
|