sw_tn/1sa/02/08.md

202 B

Taarifa ya jumla:

Hana anaendelea kumwimbia Bwana.

Wahitaji

Watu wasiokuwa na kitu wanachohitaji.

toka mavumbini ... toka jalalani

Hii inaonesha hali ya watu wa daraja la chini katika jamii.