sw_tn/1sa/02/08.md

12 lines
202 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Hana anaendelea kumwimbia Bwana.
# Wahitaji
Watu wasiokuwa na kitu wanachohitaji.
# toka mavumbini ... toka jalalani
Hii inaonesha hali ya watu wa daraja la chini katika jamii.