sw_tn/1sa/02/02.md

250 B

Taarifa ya jumla:

Hana anaendelea kumwimbia Bwana.

hakuna mwamba kama Mungu wetu.

Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa Mungu ni mwenye nguvu na mwaminifu.

Mwamba

Huu ni mwamba mkubwa ambao unaweza kujificha nyuma yake na kuwa juu ya adui.