# Taarifa ya jumla: Hana anaendelea kumwimbia Bwana. # hakuna mwamba kama Mungu wetu. Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa Mungu ni mwenye nguvu na mwaminifu. # Mwamba Huu ni mwamba mkubwa ambao unaweza kujificha nyuma yake na kuwa juu ya adui.