sw_tn/1sa/01/07.md

572 B

Hasimu wake

Huyu ni Penina mke mwingine wa Elikana. Hasimu ni mtu anayeshindana na mtu mwingine. Penina alikuwa anashindana na Hana na kujaribu kumfanya Elikana ampende yeye zaidi.

"Hana, kwa nini unalia? Kwa nini huli chakula? Kwa nini una huzuni moyoni mwako? Mimi si bora kwako kuliko wana kumi?

Swahi hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi isemayo, "Hana usilie. Yakupasa ule na moyo wako ufurahi kwa sababu mimi ni bora kuliko wana kumi!"

Kuliko wana kumi

Elikana alitumia maneno haya kusisitiza kouonesha ni kwa kiasi gani Hana alikuwa na umuhimu kwake.