forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
572 B
Markdown
12 lines
572 B
Markdown
|
# Hasimu wake
|
||
|
|
||
|
Huyu ni Penina mke mwingine wa Elikana. Hasimu ni mtu anayeshindana na mtu mwingine. Penina alikuwa anashindana na Hana na kujaribu kumfanya Elikana ampende yeye zaidi.
|
||
|
|
||
|
# "Hana, kwa nini unalia? Kwa nini huli chakula? Kwa nini una huzuni moyoni mwako? Mimi si bora kwako kuliko wana kumi?
|
||
|
|
||
|
Swahi hili linaweza kutafsiriwa kama sentensi isemayo, "Hana usilie. Yakupasa ule na moyo wako ufurahi kwa sababu mimi ni bora kuliko wana kumi!"
|
||
|
|
||
|
# Kuliko wana kumi
|
||
|
|
||
|
Elikana alitumia maneno haya kusisitiza kouonesha ni kwa kiasi gani Hana alikuwa na umuhimu kwake.
|