sw_tn/1pe/04/12.md

16 lines
470 B
Markdown

# Lakini kwa kadri mnavyozidi kupata uzoefu wa mateso ya Kristo, furahini
"Badasla yake, furahini kwamba mnatesekwa kwa mateso ambayo Kristo aliyasitahimili"
# katika ufunuo wa utukufu wake
"wakati Yesu alivyoufunua utukufu wake"
# Iwapo mmetukanwa kwa ajili ya jina la Kristo
"Kama watu wakiwatukana kwasababu mnamwamini Kristo"
# Roho wa utukufu na Roho wa Mungu
Wote wanaelezea Roho Mtakatifu. "Utukufu wa Roho wa Mungu" au "Roho anayeufunua utukufu wa Mungu"