sw_tn/1pe/04/12.md

470 B

Lakini kwa kadri mnavyozidi kupata uzoefu wa mateso ya Kristo, furahini

"Badasla yake, furahini kwamba mnatesekwa kwa mateso ambayo Kristo aliyasitahimili"

katika ufunuo wa utukufu wake

"wakati Yesu alivyoufunua utukufu wake"

Iwapo mmetukanwa kwa ajili ya jina la Kristo

"Kama watu wakiwatukana kwasababu mnamwamini Kristo"

Roho wa utukufu na Roho wa Mungu

Wote wanaelezea Roho Mtakatifu. "Utukufu wa Roho wa Mungu" au "Roho anayeufunua utukufu wa Mungu"