sw_tn/1pe/03/08.md

351 B

Nyinyi wote

Sehemu tatu zilizopita zilishughulikia watumwa, wake, na waume. Sehemu hii inazungumzia makundi haya yote pamoja na waumini wengine wote.

Chuki

Hii ina maana ya kusema au kufanya kitu kibaya kwa mtu mwingine.

kinyume chake

"kwa njia tofauti"

wewe uliitwa

Mungu alikuita.

ili urithi baraka

"ili kwamba Mungu atakubariki"