sw_tn/1pe/03/08.md

20 lines
351 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nyinyi wote
Sehemu tatu zilizopita zilishughulikia watumwa, wake, na waume. Sehemu hii inazungumzia makundi haya yote pamoja na waumini wengine wote.
# Chuki
Hii ina maana ya kusema au kufanya kitu kibaya kwa mtu mwingine.
# kinyume chake
"kwa njia tofauti"
# wewe uliitwa
Mungu alikuita.
# ili urithi baraka
"ili kwamba Mungu atakubariki"