sw_tn/1pe/02/11.md

8 lines
241 B
Markdown

# Wageni na watazamaji
Maneno haya mawili yanamaanisha kimsingi kitu kimoja. Petro anawatumia pamoja ili kusisitiza kuwa nyumbani kwao halisi ni mbinguni si duniani.
# vita dhidi ya nafsi yako
"kutafuta kuharibu imani yako katika Mungu"