sw_tn/1pe/02/11.md

241 B

Wageni na watazamaji

Maneno haya mawili yanamaanisha kimsingi kitu kimoja. Petro anawatumia pamoja ili kusisitiza kuwa nyumbani kwao halisi ni mbinguni si duniani.

vita dhidi ya nafsi yako

"kutafuta kuharibu imani yako katika Mungu"