sw_tn/1pe/01/13.md

271 B

Panda viuno vya akili yako

Wakati wa kuvaa vazi, mtu angeweza kufunga vazi hilo kwa mkanda wake kujiandaa kwa ajili ya kazi. AT "huandaa mawazo yako kwa shughuli."

Kuwa na busara katika kufikiri kwako

AT "Kudhibiti mawazo yako" au "Jihadharini na nini unafikiri."