# Panda viuno vya akili yako Wakati wa kuvaa vazi, mtu angeweza kufunga vazi hilo kwa mkanda wake kujiandaa kwa ajili ya kazi. AT "huandaa mawazo yako kwa shughuli." # Kuwa na busara katika kufikiri kwako AT "Kudhibiti mawazo yako" au "Jihadharini na nini unafikiri."