sw_tn/1ki/22/51.md

24 lines
633 B
Markdown

# akatawala kwa miaka miwili
"akatawala kwa miaka 2"
# akafanya yaliyo maovu mbele za BWANA
"yale ambayo BWANA aliyaona kuwa ni maovu"
# akatembea katika njia za baba yake, katikanjia za mama yake, na katika njia za Yeroboamu mwana wa Nebati
"Alifanya sawa na baba yake alivyofanya, mama naYeroboamu mwana wa Nebati alivyofanya"
# aliifanya Israeli kufanya dhambi
Neno "Israeli" linmaanisha makabila kumi ya dola ya Israeli iliyokuwa kaskazini
# Alimtumika Baali na kumwabudu
"Alimtumikia" na "kumwabudu" maneno hayo yanamaanishakitu kimoja.
# Mungu wa Israeli
"Israeli" linamaanishaWaisraeli wote waliotokana na Yakobo.