sw_tn/1ki/21/21.md

12 lines
373 B
Markdown

# Tazama
"Sikiliza" au "angalia kwa makini kile ninachotaka kukuambia"
# litakuangamiza kabisa na kukufutilia mbali
Senrwnsi hizi zina aana moja zinasisitiza kuangamiza kabisa kwa familia ya Ahabu.
# Nitaifanya familia yako kama familia ya Yeroboamu ...na kama familia ya Baasha
BWANA ataiangamiz afamilia ya Ahabu kama alivyoaangamiza familia ya Yeroboamu na Baasha.