# Tazama "Sikiliza" au "angalia kwa makini kile ninachotaka kukuambia" # litakuangamiza kabisa na kukufutilia mbali Senrwnsi hizi zina aana moja zinasisitiza kuangamiza kabisa kwa familia ya Ahabu. # Nitaifanya familia yako kama familia ya Yeroboamu ...na kama familia ya Baasha BWANA ataiangamiz afamilia ya Ahabu kama alivyoaangamiza familia ya Yeroboamu na Baasha.