# Nabothi ameshapigwa mawe na alikuwa amekufa
"kwamba watu walikuwa wamempiga mawe Nabothi na alikuwa amekufa"
# Nabothi hayuko hai, bali amekufa
Maneno haya mawili yanafanana kwa maana. Yametumika kuonesha msisitizo kuwa Nabothi amekufa.