sw_tn/1ki/15/18.md

16 lines
350 B
Markdown

# Akaziweka katika mikono ya watumishi
"Akaiweka kwa mtumishi wake"
# Akasema
"Akawaambia watumishi wake"
# Tazama
Neno "Tazama" linaongeza msisitizo kwa kilke kinachofuata na kuhalalisha kile kilichokuwa kimesemwa, "Kama uhakika wa kuwa nahitaji mkataba na wewe"
# uvunje agano lako na Baasha
"Vunja agano lako na Baasha na uaivamie Israeli"