# Akaziweka katika mikono ya watumishi "Akaiweka kwa mtumishi wake" # Akasema "Akawaambia watumishi wake" # Tazama Neno "Tazama" linaongeza msisitizo kwa kilke kinachofuata na kuhalalisha kile kilichokuwa kimesemwa, "Kama uhakika wa kuwa nahitaji mkataba na wewe" # uvunje agano lako na Baasha "Vunja agano lako na Baasha na uaivamie Israeli"