sw_tn/1ki/15/04.md

12 lines
294 B
Markdown

# alimpa taa Yerusalemu ... ili kuimarisha Yerusalemu
"alimpa Daudi mwana wa Uazao kutawala Yerusalemu ka ukumbusho wa agano na familia ya Daudi"
# yaliyo mema machoni pake
"Yale ambayo BWANA aliyaona kuwa mema"
# Kati ya Rehoboamu na Yeroboamu
"Kati ya majeshi ya Rehoboamu na Yeroboamu"