# alimpa taa Yerusalemu ... ili kuimarisha Yerusalemu "alimpa Daudi mwana wa Uazao kutawala Yerusalemu ka ukumbusho wa agano na familia ya Daudi" # yaliyo mema machoni pake "Yale ambayo BWANA aliyaona kuwa mema" # Kati ya Rehoboamu na Yeroboamu "Kati ya majeshi ya Rehoboamu na Yeroboamu"