sw_tn/1ki/13/04.md

8 lines
350 B
Markdown

# Na ile madhabahu ikavunjika vipande vipande, na majivu yakamwagika kutoka madhabahuni
"Mungu akazivunja zile madhabahu na akayamwaga yale majivu kutoka madhabahuni"
# kama iloivyokuwa imefafanuliwa kuwa ndiyo ishara ya kwamba mtu wa Mungu alikuwa amepewa kwa neno la Mungu
"kama ishara ambayo mtu wa Mungu alikuwa amefafanua kwa neno la BWANA"