sw_tn/1ki/12/20.md

20 lines
367 B
Markdown

# Ndipo Israeli
Neno hili limetumika kuonesha kuwa kuna tukio la muhimu kwenye habari. Waweza kutumia neno lolote lililo kwenye kabila yako lenye mukhutadha huo.
# Israeli yote
"Viongozi wote wa Israeli waliposikia"
# kuwa mfalme wa Israeli
"mfalme wa makabila yote 10 ya Israeli"
# familia ya Daudi
"Uzao wa Daudi"
# kabila ya Yuda
"watu wa kabila ya Yuda"