# Ndipo Israeli Neno hili limetumika kuonesha kuwa kuna tukio la muhimu kwenye habari. Waweza kutumia neno lolote lililo kwenye kabila yako lenye mukhutadha huo. # Israeli yote "Viongozi wote wa Israeli waliposikia" # kuwa mfalme wa Israeli "mfalme wa makabila yote 10 ya Israeli" # familia ya Daudi "Uzao wa Daudi" # kabila ya Yuda "watu wa kabila ya Yuda"