sw_tn/1ki/11/34.md

20 lines
344 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Ahiya anaendelea kumwambia Yeroboamu kile ambacho BWANA alisema.
# Sitauchukua
"Neno "si" linamaanisha BWANA
# kwenye mkono wa Sulemani
"toka kwenye mamlaka ya Sulemani"
# Nitampa
Neno "m" Yeroboamu.
# atabaki kuwa nuru mbele yangu
"daima kutakuwa na kizazi kitakachotawala ili kuwa ukumbusho wa familia ya Daudi"